Ziwa Kivu

Ziwa Kivu ni moja kati ya Maziwa makubwa ya Afrika. Liko mpakani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, katika tawi la magharibi la Bonde la Ufa.

Ziwa Kivu
Picha ya ziwa kutoka angani (kwa ruhusa ya NASA).
Anwani ya kijiografia2°0′S 29°0′E / 2.000°S 29.000°E / -2.000; 29.000
Aina ya ziwaRift Valley lakes, Meromictic
Mito ya kutokaRuzizi River
besenikm2 2 700 (sq mi 1 000)
Nchi za beseniRwanda, Democratic Republic of the Congo
Urefukm 89 (mi 55)[1]
Upanakm 48 (mi 30)[1]
Eneo la majikm2 2 700 (sq mi 1 040)[1]
Kina cha wastanim 240 (ft 787)
Kina kikubwam 480 (ft 1 575)
Mjaokm3 500 (cu mi 120)
Kimo cha uso wa maji juu ya UBm 1 460 (ft 4 790)
VisiwaIdjwi
Miji mikubwa ufukoniGoma, Congo
Bukavu, Congo
Kibuye, Rwanda
Cyangugu, Rwanda
Ziwa Kivu likiwa na mji wa Goma kwa nyuma, Kongo.
Watu ufukoni mwa Gisenyi, Rwanda.

Maji yake yanatoka kupitia mto Ruzizi unaoelekea kusini hadi ziwa Tanganyika.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: