Yerevan
Yerevan (pia: Erevan, Erivan; kwa Kiarmenia: Երեւան au Երևան) ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Armenia.
Idadi ya wakazi ni juu ya milioni moja (mwaka 2004).
Iko kando ya mto Hrazdan na kutazama mlima Ararat ambao ni mlima mtakatifu wa Waarmenia.
Mji ni wa kale: ulianzishwa kama boma la Erevuni katika milki ya Urartu mnamo 782 KK.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yerevan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia