Wilaya ya Thika

Wilaya ya Thika ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Maporomoko ya Thika karibu na mji wa Thika.

Makao makuu yalikuwa mjini Thika.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kiambu.

Wilaya ilipakana na Nairobi upande wa kaskazini mashariki. Idadi ya wakazi ilikuwa 645.713. Wakikuyu ndio waliozidi kwa idadi wilayani.

Wakazi wa wilaya hasa ni wa kijijini, lakini wakazi wake wa mjini wanazidi kuongezeka pale mji wa Nairobi unapozidi kupanuka.

Halmashauri za miji wilayani
MamlakaAinaIdadi ya WatuMjini pop.*
ThikaManispaa88.26582.665
RuiruManispaa109.34979.741
Thika kataCounty448.0995.968
Jumla--645.713168.374
* 1999 census. Source: [1]
Tarafa za wilaya ya Thika
TarafaIdadi ya WatuMjini pop.*Makao makuu ya
Gatanga103.0480
Gatundu113.6990Gatundu
Kakuzi71.6220
Kamwangi (Gatundu kaskazini)99.4600
Ruiru (Juja)150.71081.709Ruiru
Thika manisipaa107.17475.893Thika
Jumla645.713157.602
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Wilaya ina majimbo ya uchaguzi manne:

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Thika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.