Wilaya ya Babati Vijijini
Wilaya ya Babati Vijijini ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Manyara, Tanzania yenye postikodi namba 27200.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 312,392 waishio humo.[1]
Eneo la mji wa Babati limepewa halmashauri yake ya pekee na hivyo kuwa wilaya ya pekee.
Marejeo
![]() | Kata za Wilaya ya Babati Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Arri | Ayalagaya | Ayasanda | Bashnet | Boay | Dabil | Dareda | Duru | Endakiso | Gallapo | Gidas | Kiru | Kisangaji | Madunga | Magara | Magugu | Mamire | Mwada | Nar | Nkaiti | Qameyu | Qash | Riroda | Secheda | Ufana |
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Babati Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia