Uwanja wa kimataifa wa Enyimba
Uwanja wa mpira
Uwanja wa Kimataifa wa Enyimba ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali. unapatikana huko Aba nchini Nigeria.
Hivi sasa uwanja huu hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu nchini humo. Unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Enyimba F.C.. Uwanja huu una uwezo wa kuingiza takribani watu 16,000 baada ya ufungaji wa viti. Mnamo 3 Novemba 2008 uwanja huo ulipigwa marufuku ya muda baada ya umati wa watu kuwashambulia waamuzi baada ya kutoa suluhu ya mabao ya 1-1 na wapinzani Heartland F.C..
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa kimataifa wa Enyimba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia