Ununsepti


Ununsepti ni elementi ya kikemia ambayo imetabiriwa na wanayasansi kuwa inapatikana lakini haikugunduliwa bado.

Ununsepti
Jina la ElementiUnunsepti
AlamaUus
Namba atomia117
Uzani atomia 291 u
Valensi2, 8, 18, 32, 32, 18, 7
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Asilimia za ganda la dunia0

Kama inatambuliwa itakuwa ni elementi sintetiki yenye namba atomia 117 na uzani atomia hukadiriwa kuwa takriban 291.

Ununsepti ni jina la muda tu itabadilishwa mara imepatikana na kukubaliwa na umma wa wataalamu wa sayansi.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ununsepti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.