Ulanga (madini)
Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Ulanga
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/31/Mica_%286911818878%29.jpg/300px-Mica_%286911818878%29.jpg)
Ulanga (kwa Kiingereza: mica) ni kundi la madini yanayopatikana kwa umbo la mabapa membamba. Kikemia ni Madini silikati zinazounda fuwele monokliniki; yaani fuwele zinazoungwa kwenye kona na kujipanga kitabaka; lakini hakuna nguvu ya kushikana baina ya matabaka hayo.
Ulanga ni madini laini yenye ugumu wa Mohs wa 2 pekee.
Huwa na matumizi mengi katika teknolojia elektroniki maana ni kihamiumeme, hutumiwa sana ndani ya kapasita. Ulanga uliosagwa kutumiwa katika ujenzi unaotumia mbao au matofali ya jasi kwa kuziba mapengo (filler).
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ulanga (madini) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya