Tunduru
Tunduru ni mji wa Tanzania kusini na makao makuu ya wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma. Umbali wake na Songea mjini ni kilomita 272; kwa usafiri wa gari unaweza kutumia muda wa saa 4-5.Jamii inayoishi Wilayani Tunduru ni Wayao, na wanategemea sana shughuli za kilimo cha korosho na sasa wamejikita sana kwenye kilimo cha mpunga. Jamii za wilaya hii inaamini sana katika masuala ya jadi yaani jando na unyago kama njia kuu ya kutolea elimu kwa vijana. Pia jamii hii inakabiliwa na tatizo kubwa la afya kutokana na uhaba wa zahanati.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d4/Tanzania_location_map.svg/220px-Tanzania_location_map.svg.png)
Viungo vya nje
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunduru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia