Tove Jansson
Tove Marika Jansson (9 Agosti 1914 - 27 Juni 2001) alikuwa mwandishi wa riwaya, mchoraji wa katuni wa Ufini anayezungumza Kiswidi.
Jansson alilelewa na wazazi wasanii, alianza kusoma sanaa miaka 1930-1938 huko Stockholm, Helsinki na Paris.
Wakati huo huo alikuwa akiandika hadithi fupi na makala kwa ajili ya kuchapisha. Jansson akliandika vitabu vya Moomin na Great Flood mnamo mwaka 1945 kwa ajili ya watoto.[1]
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tove Jansson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia