Timor
Timor ni kisiwa katika funguvisiwa ya Malay chenye eneo la 33,850 km². Nusu moja ya kisiwa ni sehemu ya Indonesia na sehemu nyingine ni jamhuri huria ya Timor ya Mashariki.
kijani: maeneo ya Timor ya Mashariki
kahawia: maeneo ya Indonesia
Urefu wa kisiwa ni kilomita 500 na upana 80 km. Kwa jumla kuna wakazi milioni 3 kisiwani.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Timor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia