Suzana wa Roma
- Makala
- Majadiliano
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Suzana wa Roma (kwa Kilatini: Susana) alikuwa mwanamke Mkristo aliyefia dini yake katika karne ya 3[1].
Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Katika karne ya 6 basilika lenye jina lake liliwekwa wakfu kwa Mungu mjini Roma karibu na Mabafu ya Dyoklesiano[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti[3][4].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |