Shughuli za binadamu
Shughuli za binadamu ni shughuli ambazo binadamu huzifanya ili kujipatia yale anayoyahitaji. Mfano wa shughuli hizo ni:
- 1. ufugaji
- 2. kilimo
- 3. uchimbaji madini
- 4. uvunaji wa miti n.k.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/82/Fishing_scene_galleryfull-2.jpg/220px-Fishing_scene_galleryfull-2.jpg)
Pia binadamu anapofanya shughuli hizo huweza kuleta faida au hasara katika jamii. Baadhi ya faida hizo ni:
- 1. kujipatia kipato
- 2. kuongeza pato la taifa
- 3. kutokuwe kwa janga la njaa n.k
- 4. hutusaidia katika elimu mfano uvunaji wa miti hutuwezesha kupata karatasi.
Katika shughuli hizo pia binadamu huweza kuleta hasara mbalimbali katika jamii na taifa kwa ujumla.baadhi ya hasara hizo ni
- 1. uharibifu wa mazingira
- 2. janga la njaa kuongezeka
- 3. uchafuzi wa hali ya hewa
- 4. ongezeko la joto duniani
- 5. kupungua kwa pato la taifa
- 6. kutokea kwa mmomonyoko wa udongo na kadhalika
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shughuli za binadamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia