Seiwa wa Japani
Seiwa (850 – 31 Desemba, 878) alikuwa mfalme mkuu wa 56 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Korehito, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Montoku. Mwaka wa 858 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 876. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Yozei.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bd/Emperor_Seiwa.jpg/220px-Emperor_Seiwa.jpg)
Angalia pia
![]() | Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seiwa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya