Santiago de Chile
(Elekezwa kutoka Santiago)
Santiago de Chile ni mji mkuu wa nchi ya Chile. Mji ni sehemu ya kanda la mji mkuu (Región Metropolitana) inayojumlisha pamoja na mkoa wa Santiago mikoa mitano mingine. Santiago yenyewe ni jina la sehemu penye kitovu cha mji na mitaa ya serikali penye watu 202,000 tu.
![]() Kitovu cha Santiago mbele ya milima ya Andes | |
Utawala | Mkoa wa Santiago |
Historia | iliundwa 12 Februari 1541 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 33°27′0"S Longitudo: 70°40′0"W |
Kimo | 520 m juu ya UB |
Eneo | 641 km² (mji) |
Wakazi | - mji: 6,500,000 |
Msongamano wa watu | watu 8,000 kwa km² |
Simu | +56 (nchi) 73 (mji) |
Mahali | |
![]() |
Santiago ni kitovu cha kiuchumi na kisasa ya nchi hata kama Bunge lakutana mjini Valparaiso.
Viungo vya nje
- (Kihispania) Santiago de Chile tovuti rasmi Archived 20 Mei 2012 at the Wayback Machine.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Santiago de Chile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia