Rodi
Rhodi (pia: Rodi - kutoka Kigiriki rhodeos, "nyekundu kama waridi" kwa sababu kampaundi zake mara nyingi huwa na rangi nyekundu) ni elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Rh na namba atomia 45 katika mfumo radidia.
Rhodi au Rodi (Rhodium) | |
---|---|
Ubamba na waya ya Rhodi | |
Jina la Elementi | Rhodi au Rodi (Rhodium) |
Alama | Rh |
Namba atomia | 45 |
Mfululizo safu | Metali ya mpito |
Uzani atomia | 102.9055 |
Valensi | 2, 8, 18, 16, 1 |
Densiti | 12.41 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 2237 K (1964 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 3968 K (3695 °C) |
Hali maada | mango |
Mengineyo | metali ghali duniani kutokana na uhaba |
Tabia na matumizi
Rhodi ni metali ngumu yenye rangi nyeupe-kifedha. Haimenyuki kirahisi na asidi au hewa, hivyo hutafutwa kwa kuunda aloi inamoongeza ugumu na kuzuia kuoksidisha kwa aloi.
Kutokana na uhaba na faida zake ni metali ghali kabisa duniani inayouzwa na kununuliwa sokoni.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya