Rockstar North
Rockstar North Limited (DMA Design Limited) ni kampuni inayopatikana Uingereza, ambayo inajihusisha na utengenezaji wa michezo ya kompyuta. Ni tawi la Rockstar Games lililopo huko mjini Edinburgh, Scotland.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/03/Rockstar_North_Logo.svg/239px-Rockstar_North_Logo.svg.png)
Kampuni hiyo ilianzishwa kama "DMA Design" huko Dundee mwaka 1987 na David Jones, hivi karibuni amekodisha wanakampuni wenzake wa zamani Mike Dailly, Russell Kay, na Steve Hammond.
Viungo vya nje
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rockstar North kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia