Raekwon


Corey Woods (amezaliwa 12 Januari, 1970) ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon (pia huitwa "Raekwon the Chef"). Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilikwenda kwa jina la Only Built 4 Cuban Linx..., na akaendelea kufanya shughuli zake akiwa kama msanii wa kujitegemea huku akiwa na washikaji zake wa Wu-Tang Clan. Mnamo mwaka wa 2009, Raekwon ametoa toleo la pili la albamu yake ya kwanza na kuipa sifa ileile, Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II.

Raekwon The Chef

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaCorey Woods
Asili yakeNew York City, New York, United States
Aina ya muzikiHip hop
Miaka ya kazi1993 - mpaka sasa
StudioLoud, Universal, Aftermath, EMI
Legion of D.O.O.M.
Ame/Wameshirikiana naWu-Tang Clan
Tovutiwww.myspace.com/raekwon

Diskografia

Albamu

MwakaJinaNafasi ya Chati[1]RIAA certifications[2]
U.S.U.S. R&BU.S. Rap
1995Only Built 4 Cuban Linx...
  • Imetolewa: 1 Agosti 1995
  • Studio: Loud
42*Gold
1999Immobilarity
  • Imetolewa: 16 Novemba 1999
  • Studio: Loud
92*Gold
2003The Lex Diamond Story
  • Imetolewa: 16 Desemba 2003
  • Studio: Universal
10218*-
2009Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II
  • Imetolewa: 8 Septemba 2009
  • Studio: EMI
422210,000[3]

Kandamseto

Jina la AlbamuTarehe ya Kutolewa
Only Built 4 the Streets2003
Heroin Only2006
R.A.G.U. (Rae and Ghost United)2006
The Vatican Mixtape Vol. 12007
The Vatican Mixtape Vol. 2: The DaVinci Code2007
The Vatican Mixtape Vol. 3: House of Wax2007
R.A.G.U. Vol. 2 (Raekwon and Ghostface United Pt. 2)2008
Blood On Chefs Apron2009
Staten Go Hard[4]2009

Single zake

MwakaJinaNafasi ya ChatiAlbamu
U.S.U.S. R&BU.S. Rap
1994"Heaven & Hell" (akimshirikisha Ghostface Killah)102[5]32Fresh soundtrack and Only Built 4 Cuban Linx...
1995"Incarcerated Scarfaces" / "Ice Cream" (akimshirikisha Ghostface Killah, Method Man, na Cappadonna)37375Only Built 4 Cuban Linx...
"Glaciers of Ice" (akimshirikisha Ghostface Killah, Masta Killa, and Blue Raspberry)/ "Criminology" (akimshirikisha Ghostface Killah)43325
1999"Live From New York"30Immobiliarity
2003"Smith Bros."The Lex Diamond Story
2004"The Hood" (akimshirikisha Tiffany Villarreal)
2009"New Wu" (akimshirikisha Ghostface Killah and Method Man)Only Built 4 Cuban Linx... Part II
"House of Flying Daggers" (akimshirikisha GZA, Method Man, Inspectah Deck, Ghostface Killah)
"Catalina" (akimshirikisha Lyfe Jennings)

Akiwa kama mwimbaji mshirikishwa

MwakaJinaNafasi ya ChatiAlbamu
U.S.U.S. R&BU.S. Rap
2000"Apollo Kids" (Ghostface Killah akimshirikisha Raekwon)12132Supreme Clientele
2001"Never Be the Same Again" (Ghostface Killah akimshirikisha Carl Thomas na Raekwon)6521Bulletproof Wallets
2008"Royal Flush" (Big Boi akimshirikisha Andre 3000 na Raekwon)68Sir Luscious Left Foot: The Son of Chico Dusty

Marejeo

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raekwon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.