Piet Botha
Piet Botha (18 Julai, 1955 – 2 Juni, 2019) [1] alikuwa mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini [2] na mwimbaji mkuu wa bendi ya muziki ya rock Jack Hammer ya Afrika Kusini (ambamo alijulikana kama "The Hammer"), [3]
![Piet Botha akitumbuiza Pretoria mnamo 2015](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b4/Piet_Botha.jpg/220px-Piet_Botha.jpg)
Wasifu
Alikuwa mtoto wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Pik Botha (1932-2018) na mjomba wa Roelof Botha, CFO wa zamani wa PayPal .
Botha alikwenda Marekani mwaka 1985 kufanya kazi, lakini alirejea Afrika Kusini mwaka uliofuata.
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Piet Botha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia