Pia
Pia (Kiing. cone) ni gimba linalopatikana kama nukta zote za duara zinaunganishwa na nukta moja iliyopo juu yake.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c8/Cone.jpg/220px-Cone.jpg)
Kwa lugha nyingine pia inapatikana kama pembetatu mraba inazunguka kwenye upande wake mfupi.
Eneo la duara ya msingi ni tako la nia. Umbali kutoka tako hadi ncha yake ni kina cha pia.
Katika jiometria si lazima ya kwamba tako ni duara. Umbo lolote linafaa. Kwa mfano piramidi kijiometria ni aina ya pia yenye tako la poligoni kwa kawaida mraba.
Yaliyomo (=volume) ya pia hukadiriwa kwa njia ifuatayo:
ni theluthi moja ya eneo la tako (=base) lililozidishwa na kina (=height):
Kama pia ina tako la mviringo fomula yake ni
theuthi moja ya pi iliyozidishwa na rediasi mara r mara kina .
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya