Orodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Hii ni orodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo mwaka 2005 ilikuwa na angalau wakazi 50,000.

Kinshasa
Lubumbashi
Kisangani
Katanga
#MjiWakaziMkoa
Sensa 1984 Kadirio 2010
1.Kinshasa2,653,5588,900,721Kinshasa
2.Lubumbashi564,8301,630,186Katanga Juu
3.Kolwezi416,122451,168Lualaba
4.Mbuji-Mayi486,2351,559,073Kasaï Mashariki
5.Kisangani317,581868,672Tshopo
6.Kananga298,693967,007Lulua
7.Likasi213,862422,535Katanga Juu
8.Boma197,617167,326Kongo Kati
9.Tshikapa116,016524,293Kasai
10.Bukavu167,9501,012,053Kivu Kusini
11.Mwene-Ditu94,560190,718Lomami
12.Kikwit149,296370,328Kwilu
13.Mbandaka137,291324,236Equateur
14.Matadi138,798291,338Kongo Kati
15.Uvira74,432337,488Kivu Kusini
16.Butembo73,312204,452Kivu Kaskazini
17.Gandajika64,878140,556Kasai Mashariki
18.Kalemie73,52892,400Tanganyika
19.Goma77,908377,112Kivu Kaskazini
20.Kindu66,812163,587Maniema
21.Isiro78,268182,000Tshopo
22.Bandundu63,642137,460Mai-Ndombe
23.Gemena63,052132,971Ubangi Kusini
24.Ilebo53,87772,059Kasai
25.Bunia59,598327,837Tshopo
26.Bumba51,197103,328Mongala
27.Beni44,14195,407Kivu Kaskazini
28.Mbanza-Ngungu44,78297,037Kongo Kati
29.Kamina62,789143,753Katanga
30.Lisala37,56579,235Mongala
31.Lodja28,67161,689Sankuru
32.Kipushi53,207121,831Lomami Juu
33.Binga32,18164,639Mongala
34.Kabinda24,789192,363Lomami
35.Kasongo27,13854,743Maniema
36.Kalima27,08747,030Maniema
37.Mweka25,49455,155Lulua
38.Gbadolite27,06348,083Ubangi Kaskazini
39.Baraka28,083115,289Kivu Kusini

Picha