Omar Belbey
Omar Cherif Belbey (alizaliwa 7 Oktoba 1973) ni mwanasoka wa zamani wa Algeria ambaye alicheza kama kiungo.[1].Omar Katika ngazi ya kimataifa, aliiwakilisha Algeria ikishiriki Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 nchini Mali.Katika fainali ya kombe La Coupe de France ya 1996 dhidi ya AJ Auxerre, Belbey aliifungia Nîmes Olympique bao 1.[2]
Heshima
Nimes
- Coupe de France mshindi wa pili: 1996 Coupe de France
- Bingwa wa Kitaifa: 1997
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omar Belbey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia