Olivier Ker Ourio
Olivier Ker Ourio (alizaliwa 1964 Paris) ni mwanamuziki wa jazz mwenye asili ya Breton anayejulikana kwa kucheza Chromatic harmonica. Amefanya kazi na Bruce Arnold, Franck Amsallem, David Kikoski na Annie Ebrel na wengine. Pia ameonesha kuvutiwa na muziki wa Reunion Krioli na muziki wa Celtic[1].
![Olivier Ker Ourio, Coartjazz 2018, Coaraze](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8d/Olivier_Ker_Ourio_2018.jpg/220px-Olivier_Ker_Ourio_2018.jpg)
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olivier Ker Ourio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia