Octave Mirbeau
Octave Mirbeau (16 Februari 1848 – 16 Februari 1917) alikuwa mwandishi , mwanahabari, mkosoaji wa sanaa, mtawala huria, mhamasishaji na mtunga hadithi wa Ufaransa, ambaye alitetea kukuzwa kwa wasanii wenye ubunifu mkubwa (Claude Monet, Auguste Rodin, Vincent Van Gogh na Paul Cezanne).
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4a/Octave_Mirbeau.jpg/250px-Octave_Mirbeau.jpg)
Katika riwaya, alitoa mwongozo mpya: L'Abbé Jules (Padre Jules, 1888), Le Journal d'une femme de chambre (Jarida la mwanamke wa chumbani, 1900), 628-E8 (1907) alishuhudia katika ukumbi, ushindi mkubwa duniani kote kwa vichekesho vyake na kwa njia na wahusika juu ya ubepari wa kisasa, Les affaires sont les affaires (Biashara ni biashara, 1903).
Tamthiliya zake
- Le Calvaire (1886).
- L'Abbé Jules (1888).
- Sébastien Roch (1890).
- Dans le ciel (1892-1893).
- Les Mauvais Bergers (1897).
- Le Jardin des supplices (1899).
- Le Journal d'une femme de chambre (1900).
- Les 21 jours d'un neurasthénique (1901).
- Les affaires sont les affaires (1903).
- Farces et moralités (1904).
- La 628-E8 (1907).
- Dingo (1913).
Viungo vya nje
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia