Oak Park, Illinois
Oak Park ni mji wa Marekani katika jimbo la Illinois. Pia ni pambizo la Chicago upande wa magharibi ya mji.
Mji la Oak Park | |
Mahali pa jiji wa Oak Park katika Marekani | |
Majiranukta: 41°47′59″N 87°47′59″W / 41.79972°N 87.79972°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Illinois |
Wilaya | Cook |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 50,824 |
Tovuti: Village of Oak Park |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2003, mji una wakazi wapatao 50,824 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 12 km².
Ernest Hemingway alizaliwa katika Oak Park.
Shule ya Upili
- Oak Park and River Forest High School
- Fenwick High School
Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oak Park, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia