Nyutroni
Nyutroni (pia: neutroni, kutoka Kilatini "neuter" - "asiye mmoja kati ya wawili") ni chembe inayopatikana ndani ya atomi zote. Ni sehemu ya kiini cha atomi isiyo na chaji yoyote, wala chanya wala hasi.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/81/Quark_structure_neutron.svg/250px-Quark_structure_neutron.svg.png)
Masi ya nyutroni ni ndogo sana. Huaminiwa ya kwamba kila nyutroni inajengwa na quark tatu.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyutroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya