Niseti wa Trier

Niseti wa Trier (pia: Nicetius, Nicetus, Nicet au Nizier; Auvergne[1], leo nchini Ufaransa, 525 hivi - 566 hivi[2]) alikuwa askofu muhimu zaidi wa mji huo[3], leo nchini Ujerumani, akieneza kazi yake hadi Konstantinopoli[4][5][6].

Mt. Niseti katika mchoro mdogo.

Gregori wa Tours anamsifu hasa kwa mahubiri yake ya nguvu[7] yaliyomfanya mfalme Klotari I ampeleke uhamishoni[8].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba [9].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.