Nicolás Otamendi
Nicolás Otamendi (matamshi ya Kihispania: [nikoˈlas otaˈmendi]; alizaliwa tarehe 12 Februari 1988) ni mchezaji mahiri wa timu ya Manchester City na anaichezea timu ya taifa ya Argentina hucheza kama kiungo wa kati.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/41/ECUADOR_VS_ARGENTINA_%2837594530462%29.jpg/316px-ECUADOR_VS_ARGENTINA_%2837594530462%29.jpg)
Aliwahi kuchezea timu ya Vélez Sarsfield na Porto ambapo alishinda tuzo nane za mchezaji bora mwaka 2011. Alisaini mkataba na Manchester City tangu mwaka 2015 akitokea Valencia ambapo Manchester City alichukua kombe la ligi mwaka 2017 na 2018.
Nicolás Otamendi tangu mwaka 2009 amecheza mara mbili katika mashindano ya kombe la dunia na katika mashindano ya Copa America.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nicolás Otamendi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia