Nicholas Butler
Nicholas Murray Butler (2 Aprili 1862 – 7 Desemba 1947) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Columbia, na alijitahidi hasa upande wa elimu ya kimataifa. Mwaka wa 1912, alipofariki Kaimu Rais James Sherman, Butler aliteuliwa kuchukua nafasi yake Sherman chini ya Rais William Howard Taft katika uchaguzi wa 1912 lakini wakashindwa na Woodrow Wilson. Mwaka wa 1931, pamoja na Jane Addams alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia