Ngagi

Ngagi

Uainishaji wa kisayansi
Domeni:Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda:Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini:Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu:Hominoidea (Masokwe)
Familia:Hominidae (Masokwe wakubwa)
Nusufamilia:Homininae
Kabila:Gorillini
Jenasi:Gorilla (Ngagi)
I. Geoffroy, 1852
Ngazi za chini

Spishi 2:

  • G. beringei Matschie, 1903
  • G. gorilla Savage, 1847
Msambao wa spishi za ngagi: nyekundu - G. gorilla, njano - G. beringei
Msambao wa spishi za ngagi: nyekundu - G. gorilla, njano - G. beringei

Ngagi ni wanyama wakubwa wa jenasi Gorilla katika familia Hominidae. Ngagi wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.

Spishi

Picha