My Love
- Makala
- Majadiliano
“My Love” | ||
---|---|---|
![]() | ||
Single ya Westlife | ||
Muundo | CD Single | |
Aina | Pop | |
Mtunzi | Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger |
"My Love" ni moja wa wimbo wa Westlife, ulitolewa kama singo kutoka katika albamu yao ya Coast to Coast.
Wimbo wa 'My love' ndio ulikuwa wimbo wa saba kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya uingereza. Wimbo huo ulishika nafasi ya thelathini na tano katika nyimbo zilizoongoza kwa mauzo kwa mwaka 2000, nchini Uingereza.
kwa upande wa video ya wimbo huu. Wimbo unaanza wakiwa katika Stesheni ya reli, ambapo, Nicky Byrne anawataarifu wenzake kuwa, ndege yao iliyokuwa inafuatia imeahirishwa. Wenzake wanakasirika kutokana na habari hiyo, ambapo Bryan anasema kuwa, yeye anaenda nyumbani. Wengine wanamfuata na ndipo wimbo unaanza.
Shairi la kwanza linafanyika ndani ya uwanja wa ndege, na wakati wa kiitikio, mandhari inabadilika na kuwa eneo la mjini. Baada ya kiitikio cha kwanza kumailizika, mandhari inabadilika tena na kuwa katika eneo la barabara kubwa. Halafu tena katika Kiitikio cha pili, mandhari inabadilika na kuwa katika eneo la pwani. Halikadhalika katika kiitikio cha mwisho kundi hilo la Westlife, wanaimba wakiwa katika kilele wakionesha bahari pembeni mwa barabara kubwa.
Chati | Ulipata Nafasi |
---|---|
Argentine Nafasi ya singo | 1 |
Australian Singles Chart | 36 |
Belgian Singles Chart | 6 |
Irish Singles Chart | 1 |
Netherlands Singles Chart | 9 |
New Zealand Singles Chart | 3 |
Norwegian Singles Chart | 3 |
Swedish Singles Chart | 1 |
Swiss Singles Chart | 38 |
UK Singles Chart | 1 |
Alitanguliwa na "Holler" by Spice Girls | UK number-one single 5 Novemba 2000 - 12 Novemba 2000 | Akafuatiwa na "Same Old Brand New You" by a1 |
Albamu | Westlife (1999) • Coast to Coast (2000) • World of Our Own (2001) • Turnaround (2003) • Face to Face (2005) • Back Home (2007) • Where We Are (2009) |
---|---|
Albamu za kushukuru na kuridiwa | Allow Us to Be Frank (2004) • The Love Album (2006) |
Albamu za Vibao Vikali | |
Albamu za kompilesheni | No. 1 Hits and Rare Tracks (2000) • Released (2005) |
Ziara za Live na DVD | Where Dreams Come True (with Live DVD) • World Of Our Own • The Greatest Hits (with Live DVD) • Turnaround (with Live DVD) • The Number Ones (with Live DVD) • Face To Face (with Live DVD) • The Love Tour • Back Home (with Live DVD) |
Muziki na Makala ya DVD | The Westlife Story • Flying Without Wings Karaoke • Coast To Coast - Up, Close and Personal • Uptown Girl • World Of Our Own • Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 • Westlife - The Complete Story • Back Home • The Karaoke Collection |
Tawasifu | Westlife - Our Story |
Makala Zinazohusiana | Brian McFadden • Simon Cowell • Louis Walsh • Ronan Keating • Steve Mac • Wayne Hector Cecelia Ahern • Jodi Albert • Kevin McDaid |
Single za Westlife | |
---|---|
Westlife | "Swear It Again" · "If I Let You Go" · "Flying Without Wings" · "I Have a Dream"/"Seasons in the Sun" · "Fool Again" |
Coast to Coast | |
World of Our Own | |
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 | |
Turnaround | |
Face to Face | |
The Love Album | "The Rose" |
Back Home | |
Where We Are |
![]() | Makala 2000s pop single-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |