Mwiluti
(Elekezwa kutoka Mueri)
Mwiluti (Prunus africana) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwiluti mchanga | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mwiluti, kiburabura, mkomahoya (kutoka Kisambala) au mueri (kutoka Kigikuyu: mũiri; kwa lugha ya kisayansi: Prunus africana) ni mti mkubwa kiasi wa familia Rosaceae. Hutokea milimani kwa Afrika kusini kwa Sahara. Gome lake hutumika kwa kutibu ongezeko la tezi kibofu.
Picha
- Majani
- Gome
- Mbao nyekundu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwiluti kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia