Mto Mariara

Mto Mariara unapatikana katika kaunti ya Meru, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje