Mpupu (Fabaceae)
Mpupu (Mucuna pruriens) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mpupu | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mipupu ni mimea yenye nywele zinazowasha au zinazochoma. Ile ya nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae (miharagwe) ni aina ya mharagwe unaotoa majani machanga na makaka yenye nywele zinazowasha. Makaka na mbegu zake huitwa upupu. Mpupu hukuzwa sana kama gubiko la udongo ili kuzuia magugu na kukauka. Mimea iliyokomaa hulimwa mara nyingi katika udongo kama mbolea kijani. Upupu huliwa pengine, hasa wakati wa njaa.
Picha
- Majani
- Ua
- Fundo la maua
- Makaka
![]() | Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpupu (Fabaceae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia