Mpigania uhuru

Mpigania uhuru ni mtu ambaye hujihusisha na harakati za kujikomboa au kukomboa watu wengine. Anaweza kuwa anatumia mikakati ya vita au majadiliano ili kuletea anaowatetea uhuru.

Kamanda Omar Mukhtar, maarufu kama "Simba wa Jangwani", aliongoza Mujahidin wa Libya dhidi ya wakoloni kutoka Italia miaka 1923-1932.

Wapigania uhuru maarufu

Vita vikuu vya pili

  • Mordechaj Anielewicz
  • Josip Broz Tito
  • Dragoljub "Draža" Mihailović
  • Edmund Charaszkiewicz
  • Charles de Gaulle
  • Mildred Harnack
  • Jan Karski
  • Henryk Iwański
  • Marcel Louette
  • Max Manus
  • Jean Moulin
  • Christian Pineau
  • Hannie Schaft
  • Aris Velouchiotis
  • Mao Zedong
  • Chiang Kai-shek
  • Sandro Pertini
  • Luigi Longo
  • Ferruccio Parri
  • Witold Pilecki
  • Sophie Scholl
  • Haile Selassie
  • Gunnar Sønsteby

Wengineo

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpigania uhuru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.