Morelia, Michoacán
Morelia ni mji mkuu katika jimbo la Michoacán. Ni pia mji mkubwa wa kwanza katika jimbo huu. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 608,049 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 735,624.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f5/MoreliaCollage.jpg/280px-MoreliaCollage.jpg)
Jiji la Morelia | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Michoacán |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 608,049 |
Tovuti: morelia.gob.mx |
Uneo lake ni 1,119 km². Mji upo m 1,921 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mji ulianzishwa mwaka 1541.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0c/Location_Morelia.png/220px-Location_Morelia.png)
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morelia, Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia