Montoku wa Japani
Montoku (22 Januari, 826 – 7 Oktoba, 858) alikuwa mfalme mkuu wa 55 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michiyasu, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Ninmyo. Mwaka wa 850 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Seiwa.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/af/Emperor_Montoku.jpg/220px-Emperor_Montoku.jpg)
Angalia pia
![]() | Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Montoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia