Mnara wa taa wa Ponta Preta
Mnara wa taa uliopo Cape Verde
Mnara wa taa wa Ponta Preta ni mnara wa taa uliopo kaskazini magharibi mwa kisiwa cha Santiago kilichopo nchini Cape Verde. Mnara huo wa taa ulijengwa mnamo mwaka 1889. Mnara huo wa taa uliwekwa kwenye stempu ya Cape Verde mnamo mwaka 2004 kama alama ya stempu hiyo.[1]
Picha
- Mnara wa taa wa Ponta preta
- Muonekano wa mnara wa taa kutoka upande wa kusini mashariki.
- Muonekano upande wa kilima kilichopo karibu
Viungo vya njee
media kuhusu Farol da Ponta Preta pa Wikimedia Commons
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta Preta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia