Mlima Athos
mlima kaskazini mashariki mwa Ugiriki
Mlima Athos unapatikana katika rasi ya Athos iliyopo katika Ugiriki Kaskazini Mashariki na tangu kale (walau mwaka 800) ni mahali pa monasteri za kiume za Kanisa la Kiorthodoksi.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/14/Mt._Athos_%283939757657%29.jpg/220px-Mt._Athos_%283939757657%29.jpg)
Mlima huo, wenye urefu wa mita 2033 juu ya usawa wa bahari, umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia mwaka 1988.[1]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d7/Athos_-_from_NW.jpg/290px-Athos_-_from_NW.jpg)
Tanbihi
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Athos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia