Mkoa wa Ordu
Ordu ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa unaopakana karibu na hapa ni pamoja na Samsun upande wa kaskazini-maghribi, Tokat upande wa kusini-magharibi, Sivas upande wa kusini, na Giresun upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Ordu.
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Ordu nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,001 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 890,869 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 52 |
Kodi ya eneo: | 0452 |
Tovuti ya Gavana | http://www.ordu.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/ordu |
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Ordu umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- (Kituruki) The provincial governorate
- (Kituruki) Ordum.Com local information
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia