Mkoa wa Aydın

Aydın ni mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye Kanda ya Aegean . Mji mkuu wa mkoani hapa ni Aydın ambao una makadirio ya wakazi wapatao 150,000 (2000).

Mkoa wa Aydın
Maeneo ya Mkoa wa Aydın nchini Uturuki
Maelezo
Kanda:Kanda ya Aegean
Eneo:8007 (km²)
Idadi ya Wakazi998,621 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:09
Kodi ya eneo:0256
Tovuti ya Gavanahttp://www.aydın.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/aydın

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Aydın umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje