Mkoa wa Afyonkarahisar
Afyonkarahisar (pia unaitwa kwa kifupi Afyon) ni jina la mkoa wa mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki.
Mkoa wa Afyonkarahisar | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Afyonkarahisar nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 14.230 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 828,201 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 03 |
Kodi ya eneo: | 0272 |
Tovuti ya Gavana | http://www.afyonkarahisar.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | www.turkeyforecast.com/weather/afyon/ |
Mikoa inayopakana karibu na hapa ni pamoja na Kütahya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Uşak kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini-magharibi, Burdur kwa upande wa kusini, Isparta kwa upande wa kusini-mashariki, Konya kwa upande wa mashariki, na Eskişehir kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wa mkoani hapa ni Afyonkarahisar. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 14.230, na idadi ya wakazi takriban 828,231 (makadirio ya sensa ya mwaka wa 2006).
Wilaya
Mkoa wa Afyonkarahisar limegawanyika katika wilaya 18 (mji mkuu umewekewa koze):
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Afyonkarahisar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia