Mji mdogo
Mji mdogo ni hadhi ambayo baadhi ya vijiji vinapewa na serikali ya nchi kisha kutimiza vigezo vya sheria husika.
Nchini Tanzania Mamlaka ya Mji Mdogo (Township Authority) ni Mamlaka ya Serikali za Mitaa iliyopo kwenye Mamlaka za Wilaya. Mamlaka hizo zinaanzishwa pale ambapo palikuwa na Kijiji ambachokimeanza kuendelezwa na kuwa na mazingira ya kimji.
Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa amepewa madaraka ya kutangaza Kijiji au Vijiji vilivyofikia sifa zilizowekwa kuwa Mamlaka za Miji Midogo, ambazo ni:
- Kuwe idadi ya watu wasiopungua elfu kumi (10,000);
- Kuwe na huduma za jamii zifuatazo: Shule ya Sekondari, Kituo cha Afya na Mahakama ya Mwanzo;
- Kuwe na Soko pamoja na Maduka ya rejareja yasiyopungua matano (5);
- Eneo liwe ni Makao Makuu ya Kata au Tarafa.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mji mdogo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia