Mimba
Mimba ni mtoto wa mamalia ambaye anakua katika tumbo la uzazi la mama yake hadi azaliwe.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/99/Human_fetus_10_weeks_-_therapeutic_abortion.jpg/220px-Human_fetus_10_weeks_-_therapeutic_abortion.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5f/Fetus_3_months.jpg/220px-Fetus_3_months.jpg)
Ukuaji huo unaendelea moja kwa moja, bila kupitia hatua zilizo wazi, ingawa pengine lugha zinatumia misamiati tofauti kadiri ya siku au wiki zilizopita tangu mimba itungwe.
Muda wa ukuaji huo wote ni tofauti kadiri ya spishi husika. Kwa binadamu ni miezi 9 hivi.
Tanbihi
Viungo vya nje
- "Prenatal Image Gallery Index" from The Endowment for Human Development (providing numerous motion pictures of human fetal movement that can be viewed online).
- "In the Womb," Archived 24 Septemba 2008 at the Wayback Machine. video from National Geographic.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mimba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya