Mikoa ya Kodivaa
Mikoa ya Kodivaa (Kifaransa: Régions de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya pili ya ugatuzi nchini Kodivaa. Nchi imegawanywa katika wilaya 14 ambazo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi. Wilaya mbili ni miji iliyoandaliwa kama wilaya huru na wilaya 12 za kawaida zinagawanyika katika mikoa 31.
Mikoa na wilaya zisizo huru, imegawanywa katika tarafa 108 ambazo ni ngazi ya tatu ya ugatuzi.
Mikoa
Kwa sasa kuna mikoa 31. Majina na mwaka wa uundaji wake, ni kama ifuatavyo:
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0e/Regions_of_C%C3%B4te_d%27Ivoire_numbered_%28new_2011_regions%29.png/300px-Regions_of_C%C3%B4te_d%27Ivoire_numbered_%28new_2011_regions%29.png)
- Agnéby-Tiassa (2011)
- Bafing (2000)
- Bagoué (2011)
- Bélier (2011)
- Béré (2011)
- Bounkani (2011)
- Cavally (2011)
- Folon (2011)
- Gbêkê (2011)
- Gbôklé (2011)
- Gôh (2011)
- Gontougo (2011)
- Grands-Ponts (2011)
- Guémon (2011)
- Hambol (2011)
- Haut-Sassandra (1997)
- Iffou (2011)
- Indénié-Djuablin (2011)
- Kabadougou (2011)
- La Mé (2011)
- Lôh-Djiboua (2011)
- Marahoué (1997)
- Moronou (2012)
- Nawa (2011)
- N'Zi (2011)
- Poro (2011)
- San-Pédro (2011)
- Sud-Comoé (1997)
- Tchologo (2011)
- Tonkpi (2011)
- Worodougou (1997)
- A. Jimbo huru la Abidjan (2011) (Si mkoa wala kugawanywa katika mikoa)
- B. Jimbo huru la Yamoussoukro (2011) (Si mkoa wala kugawanywa katika mikoa)
Mikoa kabla ya 2011
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/63/Regions_locator_map_C%C3%B4te_d%27Ivoire_1997-2000.jpg/300px-Regions_locator_map_C%C3%B4te_d%27Ivoire_1997-2000.jpg)
Kabla ya mwaka 2011, Cote d'Ivoire iligawanyika katika mikoa 19 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):
|
Mikoa hiyo yote iligawanyika tena kwenye wilaya takriban 90.
Tazama pia
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya