Mguu
(Elekezwa kutoka Miguu)
Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/09/Gray1240.png/220px-Gray1240.png)
Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. Wanyama wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.
Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.
Shida za miguu
Kati ya shida zilizo za kawaida kwa miguu ya binadamu ni kama kuibuka vidonda vya fungi, gout, maumivu kwa kuvalia viatu vinavyobana, kuubuka ngozi na miguu kuwa kombo hasa unapopata ajali.
Shida hizo zafaa ziangaliwe kadiri zinapochipuka. Inafaa pia uvalie viatu visivyobana na kama miguu inakwenda kombo uvalie arch braces.
Viungo vya Nje
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mguu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia