Mgobi
Mgobi (Canavalia rosea) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mgobi kwenye pwani | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mgobi, mgarara au mgwana (Canavalia rosea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Spishi hii inafanana na mbwanda (C. gladiata) lakini inamea karibu na ufuko katika mchanga takriban safi. Maua ni pinki na makaka ni mafupi na mapana zaidi. Mbegu zake huitwa magobi.
Mgobi hukua pwani za ukanda wa tropiki na unaweza kuhimili kitembo kiasi cha chumvi. Makaka yanaweza kuelea juu ya maji na kwa hiyo yamesambaa kwenye pwani zote za tropiki. Pengine mmea huu hukuzwa juu ya matuta ili kuamirikisha mchanga.
Picha
- Majani
- Maua
- Kaka bichi
- Canavalia rosea
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgobi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya