Mfumo wa kingamaradhi
Mfumo wa kingamaradhi (kwa Kiingereza immune system) ni seti ya tishu za mwili zinazofanya kazi pamoja ili kukwepa ugonjwa.
Mfumo huo unasaidia kiumbehai kutambua na kuzuia hatari kutoka nje kwa afya yake, kama vile virusi, bakteria na vidusia mbalimbali.[1]
Kumbe pengine mfumo wenyewe umeathiriwa na kwa sababu hiyo unashindwa kufanya kazi.[2][3] Mfano mmojawapo wa ukosefu huo ni UKIMWI unaosababishwa na VVU.
Mfumo huo ni wa zamani sana, kiasi kwamba uliweza kuwepo katika eukaryota wa seli moja tu, kabla ya wanyama na mimea kutofautiana.[4][4]
Fani muhimu ya sayansi inayochunguza mfumo huo inaitwa imunolojia.
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa kingamaradhi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia