Kaangao

(Elekezwa kutoka Merostomata)
Kaangao
Kaangao wa Atlantiki (Limulus polyphemus)
Kaangao wa Atlantiki (Limulus polyphemus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Arthropodi (Wanyama bila uti wa mgongo wenye mwili wa vipingili na miguu yenye viungo)
Nusufaila:Chelicerata (Arthropodi wenye mwili wa mapande mawili na maungo mawili mbele ya domo)
Ngeli:Merostomata
Oda:Xiphosura (Wanyama kama kaangao)
Ngazi za chini

Nusuoda 2:

  • Synziphosurida
  • Xiphosurida

Kaangao ni wanyama wa oda Xiphosura katika ngeli Merostomata. Hawa ni kheliserata wakubwa sana.

Spishi

  • Carcinoscorpius rotundicauda, Kaangao-misitubahari (Mangrove Horseshoe Crab) - Asia ya Kusini Mashariki
  • Limulus polyphemus, Kaangao wa Atlantiki (Atlantic Horseshoe Crab) - pwani ya Atlantiki na Ghuba ya Meksiko
  • Tachypleus gigas, Kaangao Mkubwa - Asia ya Kusini na ya Kusini Mashariki
  • Tachypleus tridentatus, Kaangao Meno-matatu - pwani za Asia ya Mashariki

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaangao kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.