Mdudu Siku-moja
Mdudu siku-moja | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mdudu siku-moja (Ephemera danica) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusuoda 3:
|
Wadudu siku-moja ni wadudu wa oda Ephemeroptera (ephemeros = -a muda mfupi, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Wadudu hawa huishi majini baridi katika muundo wa nayadi (lava ya wadudu wa maji) kwa muda wa mwaka mmoja, halafu hutoka kwenye maji na kuambua mara mbili na kuwa mdudu aliyekomaa wenye mabawa. Licha ya jina lao wadudu waliokomaa huishi muda wa nusu saa hadi siku kadhaa. Wanajamiiana tu na kutaga mayai; hawali na kwa hiyo wana alama za vipande vya mdomo tu na utumbo umejaa na hewa. Kinyume na wadudu waliokomaa nayadi hula viani na diatomea, na spishi kadhaa hula lava za wadudu wengine wa maji.
Picha
- Furcatergalia – aliyekomaa (Leptophlebia marginata)
- Furcatergalia – nayadi (Habrophlebia sp.)
- Pisciformia – aliyekomaa (Baetis tricaudatus)
- Pisciformia – nayadi (Cloeon dipterum)
![]() | Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Siku-moja kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya