Marin Mersenne
Marin Mersenne, (Moder day sarthe, 8 Septemba 1588 - Paris, 1 Septemba 1648) alikuwa mtaalamu wa dini na sayansi wa huko Ufaransa.
![Marin mersenne](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/98/Marin_Mersenne.jpeg/220px-Marin_Mersenne.jpeg)
Alianzisha sheria za kwanza za acoustics, ambayo ilikuwa inajulikana kwa jina lake kwa muda mrefu. Leo hukumbukwa kwa kiasi kikubwa kwa primes of Mersenne. Pamoja na Galileo Galilei alijenga sheria zinazoelezea jinsi kitu kinavyoweza kuanguka katika mahali pasipo na hewa yoyote, Mfano, nyoya na jiwe la mviringo la chuma huweza kuachiwa kutoka mahali pa juu na kutua kwa wakati mmoja ila mahali pasipo hewa.
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marin Mersenne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya